24 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 24)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Novemba ni siku ya 328 ya mwaka (ya 329 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 37.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1632 - Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa Uholanzi
- 1713 - Mtakatifu Junipero Serra, O.F.M., padre kutoka Hispania na mmisionari nchini Marekani
- 1784 - Zachary Taylor, Rais wa Marekani (1849-1850)
- 1864 - Henri de Toulouse-Lautrec, mchoraji wa Ufaransa
- 1877 - Alben Barkley, Kaimu Rais wa Marekani
- 1925 - Simon van der Meer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1984
- 1956 - Terry Lewis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1968 - Gregory Pardlo, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1980 - Herbert Agar, mwanahistoria kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Andrea Dung-Lac na wenzake, Krisogoni, Firmina wa Amelia, Protasi wa Milano, Romano wa Blaye, Porsiani abati, Flora na Maria, Alberti wa Louvain, Petro Dumoulin, Petro Vo Bang Khoa, Visenti Nguyen The Diem n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |