Henri de Toulouse-Lautrec
Mandhari

Henri Marie Raymond de Toulouse-Lautrec-Monfa (24 Novemba 1864 - 9 Septemba 1901) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa Post-Impressionistm.
Mifano ya picha zake
[hariri | hariri chanzo]-
Aristide Bruant dans son cabare (1892)
-
Rousse (La Toilette) (1889)
-
Au Moulin Rouge (1892, 1895))
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henri de Toulouse-Lautrec kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |