Nenda kwa yaliyomo

Mto Mungu (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mungu (Tanzania) unapatikana magharibi mwa Tanzania.

Maji yake yanaishia katika mto Kongo na hatimaye katika Bahari ya Atlantiki.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]