Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Pemba Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
Mahali pa Pemba Kusini katika Tanzania

Mkoa wa Kusini Pemba mi moja ya mikoa 26 za Tanzania. Iko katika sehemu ya kusini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Tanzania.

Makao makuu ya mkoa ndipo Mkoani. Mkoa una wilaya mbili tu, Mkoani na Chake Chake Mwaka 2002 mkoa ulikuwa na wakazi 176,153.


Viungo vya Nje