Mtumiaji:Jon Harald Søby
Maelezo ya Babeli ya mtumiaji | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| ||||||||
Watumiaji lugha kwa lugha |
Ninaitwa Jon Harald Søby. Nilisoma kiswahili katika chuo kikuu cha NTNU katika Norwei na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (niliishi Tanzania mwaka 2011). Nimefanya kazi na Wikipedia tangu 2005. Sasa (2018) ninaishi Fredrikstad na mke wangu na watoto wetu watatu. ak:User:Jon Harald Søby