16 Januari : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
== Waliozaliwa == |
== Waliozaliwa == |
||
* [[1882]] - [[Margaret Wilson (mwandishi)|Margaret Wilson]], mwandishi kutoka [[Marekani]] |
* [[1882]] - [[Margaret Wilson (mwandishi)|Margaret Wilson]], mwandishi kutoka [[Marekani]] |
||
* [[1923]] - [[Anthony Hecht]], mshairi kutoka [[Marekani]] |
|||
* [[1959]] - [[Sade]], [[mwanamuziki]] [[Uingereza|Mwingereza]] aliyezaliwa [[Nigeria]] |
* [[1959]] - [[Sade]], [[mwanamuziki]] [[Uingereza|Mwingereza]] aliyezaliwa [[Nigeria]] |
||
* [[1979]] - [[Aaliyah]], [[mwimbaji]] na [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]] |
* [[1979]] - [[Aaliyah]], [[mwimbaji]] na [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Marekani]] |
Pitio la 05:27, 5 Januari 2017
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Januari ni siku ya kumi na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 349 (350 katika miaka mirefu).
Matukio
- 27 KK - Octavianus, mshindi wa vita vya wenyewe kwa wenyewe, anatangazwa na senati ya Roma Augustus - ndio mwisho wa Jamhuri ya Roma
Waliozaliwa
- 1882 - Margaret Wilson, mwandishi kutoka Marekani
- 1923 - Anthony Hecht, mshairi kutoka Marekani
- 1959 - Sade, mwanamuziki Mwingereza aliyezaliwa Nigeria
- 1979 - Aaliyah, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 309 - Mtakatifu Papa Marcellus I
- 1220 - Watakatifu Berardo mfiadini na wenzake 4 wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia, waliofia dini nchini Moroko
- 1710 - Higashiyama, Mfalme Mkuu wa 113 wa Japani (1687-1709)
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Papa Marcellus I, ya watakatifu Berardo mfiadini na wenzake na ya mtakatifu Josef Vaz, padri
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |