Nenda kwa yaliyomo

Sade

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sade

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Helen Folasade Adu
Amezaliwa 16 Januari 1959 (1959-01-16) (umri 65)
Ibadan, Jimbo la Oyo, Nigeria
Asili yake London, Uingereza
Aina ya muziki Soul, jazz, R&B, quiet storm, soft rock, adult contemporary
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi
Aina ya sauti contralto
Miaka ya kazi 1980–mpaka sasa
Studio Portrait/CBS Records
Epic/SME Records
Ame/Wameshirikiana na Sade
Tovuti www.sade.com

Helen Folasade Adu (amezaliwa 16 Januari 1959) ni mwanamuziki kutoka nchi ya Nigeria. Anajulikana zaidi kwa jina la Sade. Sade ambaye amewahi kupata Tuzo ya Grammy hasa ni mwimbaji na mtunzi.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Sade alizaliwa katika mji wa Ibadan katika Jimbo la Oyo. Baba yake, Bisi Adu, alikuwa ni Mnigeria, mhadhiri wa masuala ya uchumi, na mama yake, Anne Hayes, alikuwa ni nesi toka Uingereza. Baada ya baba na mama yake kuachana, mama yake alirudi Uingereza ambapo aliwachukua Sade na kaka yake, Banji. Akiwa Uingereza, Sade alijenga mapenzi na masuala ya mitindo, dansi, na kuimba. Wakati huo alipenda kuwasikiliza wanamuziki kama Marvin Gaye, Curtis Mayfield, na Donny Hathaway.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.