Higashiyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Higashiyama

Higashiyama (21 Oktoba 167516 Januari 1710) alikuwa mfalme mkuu wa 113 (Tenno) wa Japani. Tarehe 6 Mei 1687 alimfuata mfalme mkuu Reigen, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 27 Julai 1709. Aliyemfuata ni mwana wake, Nakamikado.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Higashiyama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.