Reigen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Tenno Reigen

Reigen (9 Julai 165424 Septemba 1732) alikuwa mfalme mkuu wa 112 (Tenno) wa Japani. Baba yake alikuwa mfalme mkuu Go-Mizunoo. Tarehe 5 Machi 1663 alimfuata mfalme mkuu Go-Sai, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 2 Mei 1687. Mwaka wa 1713 akawa mtawa wa Buddha. Aliyemfuata kama mfalme ni mwana wake Higashiyama.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reigen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.