Sokwe (Hominidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 86: Mstari 86:
File:Bonobo 011.jpg|[[Bonobo]] (majike)
File:Bonobo 011.jpg|[[Bonobo]] (majike)
File:Susa group, mountain gorilla.jpg|Ngagi-milima (dume)
File:Susa group, mountain gorilla.jpg|Ngagi-milima (dume)
File:Flachlandgorilla.jpg| Ngagi wa Uwanda wa Chini Mashariki (dume)
File:Flachlandgorilla.jpg| [[Ngagi]] wa Uwanda wa Chini Mashariki (dume)
File:Cross river gorilla.jpg|Ngagi wa Nijeria
File:Cross river gorilla.jpg|Ngagi wa Nijeria
File:Male silverback Gorilla.JPG| Ngagi wa Uwanda wa Chini Magharibi (dume mzee)
File:Male silverback Gorilla.JPG| Ngagi wa Uwanda wa Chini Magharibi (dume mzee)

Pitio la 14:04, 1 Oktoba 2015

Sokwe
Ngagi
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe)
Familia: Hominidae (Masokwe wakubwa)
Ngazi za chini

Jenasi 4:

Sokwe mkubwa au sokwe peke yake ni jina la binadamu na nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Tofauti na nyani wengine ni kuwepo kwa mkia; karibu nyani wote huwa na mkia lakini masokwe wakubwa hawana kabisa. Binadamu (Homo) anahesabiwa pia kama jenasi yenye spishi moja katika familia hii.

Eneo na uenezaji

Masokwe wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika (masokwe mtu na ngagi) na Asia (orangutanu). Wote ni wakazi wa misitu ila tu masokwe mtu wanaingia pia kwenye nchi ya manyasi.

Uainishaji

Spishi zilizokwisha

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sokwe (Hominidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.