Lemuri-sufu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lemuri-sufu
Lemuri-sufu mashariki
Lemuri-sufu mashariki
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Strepsirrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na lemuri)
Oda ya chini: Lemuriformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Lemuroidea (Lemuri)
Familia: Indriidae (Lemuri walio na mnasaba na indri)
Jenasi: Avahi
Jourdan, 1834
Ngazi za chini

Spishi 9

Lemuri-sufu (kutoka Kiingereza: woolly lemur) ni spishi za lemuri wa jenasi Avahi katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Manyoya yao ni laini na ya kusokotwa kama sufu. Wana rangi ya kahawiakijivu hadi kahawianyekundu na mkia una rangi ya kahawiamachungwa. Iko rangi ya nyeupe nyuma ya mapaja. Mwili wa wanyama hawa una urefu wa sm 30-50 na uzito wao ni g 60-1200, kwa hivyo wao ni spishi ndogo kuliko nyingine za familia hii. Hula majani hasa na pengine matumba na maua.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Lemuri-sufu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili woolly lemur kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni lemuri-sufu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.