Giboni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Hylobates)
Giboni | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Giboni wadogo mikono-myeupe (Hylobates lar)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Giboni (Kilatini: Hylobates) ni jenasi ya masokwe wadogo. Masokwe wadogo wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Asia ya Kusini-Mashariki.
Mwainisho
[hariri | hariri chanzo]- Familia Hylobatidae, Masokwe wadogo
- Jenasi †Bunopithecus (en)
- Jenasi Hoolock (en)
- Jenasi Hylobates, Giboni (en)
- Spishi Hylobates lar (en)
- Spishi Hylobates albibarbis (en)
- Spishi Hylobates agilis (en)
- Spishi Hylobates muelleri (en)
- Spishi Hylobates moloch (en)
- Spishi Hylobates pileatus (en)
- Spishi Hylobates klossii (en)
- Jenasi Nomascus (en)
- Jenasi Symphalangus (en)