Majadiliano:Giboni
Mandhari
Majina
[hariri chanzo]Kucbka salaam. Kwa nini unasema kwamba "Giboni" ni spishi za jenasi Hylobates tu? Kuna jenasi tatu nyingine. Spishi hizi si giboni? ChriKo (majadiliano) 07:08, 9 Januari 2018 (UTC)
- Kucbka, tafadhali nijibu. Usipofanya nitahariri makala hii. ChriKo (majadiliano) 09:46, 21 Januari 2018 (UTC)
- Hariri tu. Sidhani ya kwamba anajua Kiswahili.Kipala (majadiliano) 11:28, 21 Januari 2018 (UTC)
- Sawasawa, lakini ana tabia ya kutengua mabadiliko yangu na sitaki kuanza vita. ChriKo (majadiliano) 14:42, 21 Januari 2018 (UTC)
- Hariri tu. Sidhani ya kwamba anajua Kiswahili.Kipala (majadiliano) 11:28, 21 Januari 2018 (UTC)