Tofauti kati ya marekesbisho "Thriller"

Jump to navigation Jump to search
4,189 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d (roboti Badiliko: zh:Thriller)
 
== Kurekodi ==
Jackson akaungana tena na mtayarishaji wa abamu ya ''Off the Wall'' [[Quincy Jones]] ili kurekodi albamu ya sita. Wawili hao walifayanyakazi pamoja katika nyimbo takriban 300&nbsp; tisa katika hizo zikabahatika kuingizwa kwenye albamu. ''Thriller'' ilirekodiwa kati ya mwezi wa Aprili na Novemba kwenye mwaka wa 1982, ikiwa na bajeti ya dola za Kimarekani zipatazo 750,000. Wanachama kadhaa wa bendi ya [[Toto]] nao walishiriki katika kurekodi za albamu hii.<ref name="tara 220–221">Taraborrelli, pp. 220–221</ref> Jackson ametunga nyimbo nne kwa ajili ya rekodi: "[[Wanna Be Startin' Somethin']]", "[[The Girl Is Mine]]" (akiwa na [[Paul McCartney]]), "[[Beat It]]" na "[[Billie Jean]]". Ipo tofauti kidogo na wasanii wengine, Jackson hajaindika nyimbo hizi kwenye karatasi. Badala yake, akajirekodi kwenye kimashine cha kurekodia sauti; pale walipokuwa wanarekodi alikuwa akiimba kutoka kichwani mwake tu kwa kuwa alikuwa keshaweka kumbukumbu kichwani.<ref>Taraborrelli, pp. 209–210</ref>
 
Mahusiano ya baina ya Jackson na Jones yakawa mazuri mno wakati wa kurekodi albamu. Jackson ametumia muda wake mwingi wa kufanya mazoezi ya kucheza akiwa peke yake. Pale nyimbo tisa za albamu zilipomalizika, wote wawili, yaani Jones na Jackson walikuwa hawana furaha na matokeo ya kurejea kila wimbo (kufanya remix zake), walitumia wiki nzima katika kila wimbo mmoja. Jones aliamini kwamba "Billie Jean" haukuwa wimbo mkali kivile na kuwekwa pamoja kwenye albamu, lakini Jackson hakubaliana na hilo na kupelekea kuuweka kwenye albamu. Jones akamweleza Jackson kwamba ''Thriller'' isingeuza vizuri kama jinsi ilivyofanya ''Off the Wall'', kwa sababu kwa kipindi hata soko lenyewe lilikuwa dhaifu mno. Matokeo yake, Jackson akatishia kufuta wazo la kutoka kwa albamu hii
 
Jackson aliunda albamu kwa kuwa alikuwa akiamini kwamba "kila wimbo ni mkali," kama jinsi alivyofanya [[Pyotr Ilyich Tchaikovsky|Tchaikovsky]] na kazi yake ya ''The Nutcracker'', na kutengeneza albamu ya ''Thriller'' kwa mtazamo huo.<ref>''Ebony Magazine'': Michael: 25 Years After Thriller, December 2007, pg. 97–98</ref><ref name="jessejackson">{{cite interview|first=Michael|last=Jackson|interviewer=Jesse Jackson|date=March 2005}}</ref> Jones a mtunzi wa nyimbo [[Rod Temperton]] walitoa maelezo yao juu ya kilichotokea katika toleo la pili la albamu la mwaka wa 2001. Jones alijadili kuhusu "Billie Jean" na kwa nini Jackson aliichukua jambo hili kama binafsi sana, ambaye katahabika na idadi kubwa ya mashabiki wenye unyonge. Jones alitaka pale mwanzoni mwa wimbo kufupishwe; lakini, Jackson akang'ang'ania pabakie kwa sababu kumefanya aweze kucheza.<ref name="The Thriller Special Edition Audio">Jackson, Michael. ''Thriller Special Edition'' Audio.</ref>
 
Kwa kufuatia utata uliokuwa ukiendelea dhidi ya mtindo wa [[disco]] umepelekea kubadilisha mwelekeo mwingine wa muziki ili isiwe ya disko zito kama vile ilivyokuwa katika ''Off the Wall''.
Jones na Jackson wakadhamiria kutengeneza wimbo wa [[muziki wa rock|rock]] ambao utakata lufaa na kutumia mawiki kadhaa na kuanza kumtafuta mpiga gitaa mzuri aliyeweza kufanya kwa ajili wimbo wa "Beat It", wimbo ambao Jackson ametunga na kupiga ngoma zake. Kwa bahati, wakampata [[Eddie Van Halen]] wa bendi ya rock ya [[Van Halen]].<ref name="The Thriller Special Edition Audio"/><ref name="Thriller cast interview">{{cite web |url=http://www.telegraph.co.uk/arts/main.jhtml?xml=/arts/2007/11/25/sv_thriller.xml |title=Michael Jackson's Monster Smash |publisher=''The Daily Telegraph'' |date=November 25, 2007|accessdate=April 20, 2008}}</ref>
 
Wakati Rod Temperton ametunga wimbo wa "[[Thriller (wimbo)|Thriller]]", alinuia kabisa auite "Starlight" au "Midnight Man" lakini ukabaki katika "Thriller" kwa sababu alihisi jina lingekuwa na nguvu ya kibiashara zaidi. Daima anamtaka mtu maarufu amalizie kutaja maishairi ya mwishoni, ndiyo Temperton akamleta mwigizaji [[Vincent Price]], ambaye alimalizia sehemu yake kwa michukuo miwili tu. Temperton ametunga kisehemu cha kuongea akiwa kwenye taxi kuelekea studio. Jones na Temperton walisema kwamba baadhi ya rekodi ziliachwa kumaliziwa kwa sababu hawakuwa na mapambo tena kwa ajili ya nyimbo za albamu nyingine.
 
==Muziki==
== Kutoka na mapokeo ==

Urambazaji