Rekodi kuu za umma
Mandhari
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 16:50, 10 Septemba 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Majadiliano:Ujifunzaji wa njia nyingi (Kuhusu kutungwa kwa kutumia programu ya kompyuta: mjadala mpya) Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu New topic
- 10:53, 10 Septemba 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Mfano (Ukurasa mpya) Tag: KihaririOneshi
- 10:29, 10 Septemba 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Ujifunzaji wa njia nyingi (Ukurasa mpya) Tag: KihaririOneshi
- 09:22, 10 Septemba 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Mtumiaji:Alex Leo Tz (Wasifu wangu) Tag: KihaririOneshi
- 21:41, 12 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Mafunzo yaliyosimamiwa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mafunzo yaliyosimamiwa''' (kiingereza: ''supervised learning'' au ''SL'' kwa kifupi) ni dhana ya kwenye kujifunza kwa mashine inayotumia data zenye lebo, kufundisha algoriti kuainisha au kutabiri matokeo. data zenye lebo hujumuisha maingizo (kama maandishi, sauti, au picha) na matokeo yao yanayolingana (kama kategoria, lebo, au alama). Lengo la mafunzo yaliyosimamiwa ni kujifunza funguo (kiingereza:''function'') itakayobadilisha in...') Tag: KihaririOneshi
- 12:02, 12 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page OpenAI (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''OpenAI''' ni kampuni ya kimarekani inayofanya tafiti na utaoji huduma wa akili bandia, ilianzishwa Desemba 2015 na kundi la wajasiriamali, wawekezaji, na watafiti mashuhuri. Lengo kuu la kampuni hii ni kuhakikisha akili bandia ya jumla (akili bandia yenye uwezo wa kiakili mkubwa kuliko binadamu) inawanufanisha binadamu wote kwa ujumla, kuzuia hatari zinatishia uwepo wa binadamu pamoja na matumizi mengine mabaya. Kampuni inajiendesha kama "shiri...') Tag: KihaririOneshi
- 08:44, 12 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Googol (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Googol''' ni nambari kubwa 10100. Kwa notation ya namba kumi, inaandikwa kama tarakimu 1 ikifuatiwa na sifuri mia moja: 10,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000.') Tag: KihaririOneshi
- 07:22, 12 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Google I/O (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Google I/O''' au '''I/O''' kwa kifupi, ni mkutano wa kila mwaka wa wasanidi programu unaoandaliwa na Google, Mountain View, California. Neno "I/O", limetolewa kwenye namba googol, huku "I" ikiwakilisha "1" kwenye googol, na "O" ikiwakilisha "0" kwenye namba.') Tag: KihaririOneshi
- 19:47, 11 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Midjourney (akili bandia zalishi) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Nembo ya Midjourney '''Midjourney''' ni programu na huduma ya akili bandia ya kuzalisha iliyoundwa na kusimamiwa na maabara ya kujitegemea ya tafiti za akili bandia yenye makazi yake San Francisco, nchini Marekani ya Midjourney inc.') Tag: KihaririOneshi
- 19:03, 11 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Akili bandia ya kuzalisha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|''Théâtre D'opéra Spatial'' (kifaransa, ikiwa na maana ya "Ukumbi wa opera wa anga za juu") ni picha ya kwanza ya [[akili bandia iliyotengenezwa na akili bandia zalishaji ya Midjourney kushinda tuzo ya sanaa]] Akili bandia ya kuzalisha, akili bandia inayozalisha, akili bandia zalishaji au akili bandia zalishi (kutoka kwenye kiingereza generative artificial intelligence, generative AI,...') Tag: KihaririOneshi
- 18:16, 11 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Roboti la mazungumzo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|ELIZA, roboti la mazungumzo lililoundwa mwaka 1966, lilifanikiwa kuwahadaa watu kuamini kuwa wanazungumza na binadamu kweli '''Roboti la mazungumzo''' au '''roboti mazungumzo''' (kutoka kwenye kiingereza ''chatbot'', ''conversational robot'' au ''chatterbot'') ni programu ya kompyuta inayoiga mazungumzo ya kibinadamu kwa njia ya maandishi au sauti. Japokua sio kila roboti la mazungumzo linatumia akili bandia,...') Tag: KihaririOneshi
- 12:39, 11 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Bard (roboti mazungumzo) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Unreferenced}} thumb|Nembo ya Bard, roboti mazungumzo kutoka [[Google]] '''Bard''' ni roboti la mazungumzo linalotumia akili bandia ya kuzalisha lililotengenezwa na Google. Mwanzoni lilijengwa juu ya LaMDA, familia ya mifumo mikubwa ya lugha (MMLs), baadae iliboreshwa na kutumia PaLM kabla haijaboreshwa tena na kutumia Gemini. Bard iliundwa na kutolewa Machi 2023, kujibu u...') Tag: KihaririOneshi
- 19:22, 10 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Kujifunza kwa kina (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Kielelezo cha [[mtandao wa neva bandia wenye matabaka matatu au zaidi]] '''Kujifunza kwa kina''' au '''kujifunza kina''' (kutoka kwenye kiingereza ''deep learning'') ni tawi la kujifunza kwa mashine linalotumia mitandao ya neva bandia wenye matabaka zaidi ya matatu, mitandao hii ya neva bandia hujifunza kwa kuchakata taarifa mithiri ya ubongo wa binadamu. Japokua mtandao wa...') Tag: KihaririOneshi
- 19:07, 10 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Kujifunza kwa mashine (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Kielelezo kikionyesha mpangilio wa matawi makuu ya akili bandia, kujifunza kwa mashine (''machine learning'') na kujifunza kwa kina (''deep learning'') {{Unreferenced}} Kujifunza kwa mashine au kujifunza mashine (kutoka kwenye kiingereza machine learning, kwa kifupi ML) ni tawi la akili bandia linalojihusisha na uundaji wa algoriti zinazotumia takwimu kujifunza kutoka kwenye data kisha kutumia uele...') Tag: KihaririOneshi
- 17:55, 10 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Mtandao wa neva bandia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mtandao wa neva bandia ni kundi la nodi au makutano (kiingereza node) uliohamasishwa au kuigwa kutoka kwenye mtandao wa neva za ubongo (uliorahisiswa). Hapa kila duara au nodi inawakilisha neva bandia, na mshale ukiwakilisha mahusiano au muunganiko kutoka mwisho wa neva bandia moja kwenda mwanzo wa neva bandia nyingine. '''Mtandao wa neva''' bandia au '''mtandao neva bandia''' (kwa kiingereza ''artificial neura...') Tag: KihaririOneshi
- 10:52, 10 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Akili bandia ya jumla (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Akili bandia ya jumla''' (kutoka kwenye kiingereza ''Artificial General Intelligence'' au ''AGI'' kwa kifupi) ni tafiti ya kinadharia ya akili bandia inayojaribu kuunda programu ya kompyuta yenye utashi wa kibinadamu na zaidi yenye uwezo wa kujifundisha yenyewe. Lengo la tafiti hii ni kuunda programu ya kompyuta yenye uwezo wa kufanya kazi ambazo haikufundishwa wala kuundwa kwa ajili ya kazi hizo. Mifumo ya sasa ya akili bandia hufanya kazi...') Tag: KihaririOneshi
- 09:47, 10 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Usindikaji wa lugha ya asili (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Usindikaji wa lugha ya asili au usindikaji lugha asili (kutoka kwenye kiingereza Natural Language Processing, NLP kwa kifupi) ni tawil la akili bandia linalojihusisha na kuzipa kompyuta uwezo kuelewa maandishi au maneno yanayotamkwa katika namna ile ile ambayo binadamu wanaweza. Usindikaji lugha asili unaunganisha isimu, takwimu pamoja na mitandao mipana ya neva bandia kuchakata lugha ya binadamu katika mtindo wa maandishi au sauti. Faili...') Tag: KihaririOneshi
- 07:55, 8 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Ukusanyaji taka za kielektroniki (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Unreferenced}} thumb Ukusanyaji taka za kielektroniki (kiingereza garbage collection au GC kwa kifupi) ni mchakato kwenye upangaji wa programu za kompyuta unaofanya kazi ya kuokoa kumbukumbu za kompyuta ambazo hazitumiwi tena na programu. Huzuia kumbukumbu kuvuja na kuruhusu wasanidi programu kujikita na kuandika misimbo chanzo bila kujihusisha na usimamizi w...') Tag: Visual edit: Switched
- 07:35, 7 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Msanidi programu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Wasanidi programu {{Mbegu-sayansi}} Msanidi programu, au muhandisi programu , msanidi kompyuta au koda (kutoka kwenye Kiingereza ''programmer, computer programmer, software developer, software engineer'' au ''coder)'' ni mtu anayeunda programu za kompyuta.') Tag: KihaririOneshi
- 10:03, 4 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Al-Khwarizmi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Sanamu la mbao likimsadifu Al-Khwarizmi - Karne ya 20 '''Muḥammad ibn Mūsā al-Khwārizm''' au '''Al-Khwarizmi''' kwa ufupi, alikua ni mwanahisabati wa kiajemi aliyeandika kazi za lugha ya kiarabu zenye ushawishi mkubwa kwenye hisabati, elimu nyota na jiografia.') Tag: KihaririOneshi
- 09:38, 4 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Msimbo bandia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mfano wa msimbo bandia ulioandikwa kwa lugha ya [[kiingereza]] '''Msimbo bandia''' (Kwa Kingereza: ''Pseudocode)'' ni njia isiyo rasmi ya kuandika msimbo chanzo usiyozingatia sheria au muundo rasmi wa lugha ya programu au teknolojia itakayotumika. Hutumika kuandaa muhtasari au rasimu ya haraka haraka ya programu. Msimbo bandia huonyesha muhtasari wa mtiririko wote wa programu bila kuelezea t...') Tag: KihaririOneshi
- 06:19, 4 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Algoriti (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Algoriti au Algorithimu''' (Kwa Kingereza: ''Algorithm)'' ni utaratibu wa hatua-kwa-hatua wa kutatua tatizo haswa tatizo la kihesabu <ref>{{Cite web|title=Definition of ALGORITHM|url=https://www.merriam-webster.com/dictionary/algorithm|work=www.merriam-webster.com|date=2023-12-21|accessdate=2024-01-04|language=en}}</ref>. Ni kanuni au maelekezo ya hesabu ambayo kama yakifatwa na kompyuta ya...') Tag: KihaririOneshi
- 20:44, 3 Januari 2024 Alex Leo Tz majadiliano michango created page John McCarthy (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''John McCarthy''' (Septemba 4, 1927 – Octoba 24, 2011) alikua ni mwanasayansi wa kompyuta na sayansi ya utambuzi')
- 11:53, 5 Desemba 2023 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Majadiliano:Akili bandia (Ni akili "bandia" au "yakutengenezwa": mjadala mpya) Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu New topic
- 11:05, 2 Desemba 2023 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Majadiliano:Mfumo Mkubwa Wa Lugha (Kwanini ukurasa huu ulifutwa: mjadala mpya) Tag: New topic
- 09:49, 2 Desemba 2023 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Mfumo Mkubwa Wa Lugha (Nimeunda ukurasa mpya wa wiki unazozungumzia Mifumo mikubwa ya lugha (Large language models)) Tags: KihaririOneshi [[mediawikiwiki:Special:MyLanguage/Edit check/False positives]Angalia uhariri (marejeleo) imeamilishwa]]
- 05:40, 17 Februari 2022 Alex Leo Tz majadiliano michango created page Majadiliano:Devil Kingdom (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ingekua vyema kama tungepata chanzo cha kuaminuka kuhusu gharama halisi iliyotumika kutayarisha hii filamu na faida iliyopatikana (Box Office)') Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
- 09:21, 16 Februari 2022 Akaunti ya mtumiaji Alex Leo Tz majadiliano michango iliundwa Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu