Nenda kwa yaliyomo

Akili mnemba ya kuundia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Akili bandia ya kuzalisha)
Théâtre D'opéra Spatial (kwa Kifaransa, maana yake ni "Ukumbi wa opera wa anga za juu") ni picha ya kwanza ya akili bandia iliyotengenezwa na akili bandia zalishaji ya Midjourney, kushinda tuzo ya sanaa za kidijitali.

Akili mnemba ya kuundia, akili mnemba undizi (kwa Kiingereza: generative artificial intelligence, generative AI, GenAI au GAI kwa kifupi) ni akili mnemba yenye uwezo wa kuzalisha maandishi, picha, sauti, au video kwa kutumia mitandao ya neva bandia ya kujifunza kwa kina[1][2][3] [4][5].

Akili bandia zalishi hujifunza alama na miundo ya data za mafunzo kisha hutumia elimu hii kuzalisha data mpya zinazofanana na data za mafunzo.[6]

  1. Pinaya, Walter H. L.; Graham, Mark S.; Kerfoot, Eric; Tudosiu, Petru-Daniel; Dafflon, Jessica; Fernandez, Virginia; Sanchez, Pedro; Wolleb, Julia; da Costa, Pedro F.; Patel, Ashay (2023). "Generative AI for Medical Imaging: extending the MONAI Framework". arXiv:2307.15208 [eess.IV].
  2. "What is ChatGPT, DALL-E, and generative AI?". McKinsey. Iliwekwa mnamo 2024-12-14.
  3. "What is generative AI?". IBM. 22 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Pasick, Adam (2023-03-27). "Artificial Intelligence Glossary: Neural Networks and Other Terms Explained". The New York Times (kwa American English). ISSN 0362-4331. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 1, 2023. Iliwekwa mnamo 2023-04-22.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Karpathy, Andrej; Abbeel, Pieter; Brockman, Greg; Chen, Peter; Cheung, Vicki; Duan, Yan; Goodfellow, Ian; Kingma, Durk; Ho, Jonathan; Rein Houthooft; Tim Salimans; John Schulman; Ilya Sutskever; Wojciech Zaremba (2016-06-16). "Generative models". OpenAI. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 17, 2023. Iliwekwa mnamo Machi 15, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Generative artificial intelligence", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-09, iliwekwa mnamo 2024-01-11
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akili mnemba ya kuundia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.