Kujifunza kwa kina
Mandhari
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. |
Kujifunza kwa kina au kujifunza kina (kwa Kiingereza deep learning) ni tawi la kujifunza kwa mashine linalotumia mitandao ya neva bandia yenye matabaka zaidi ya matatu, mitandao hii ya neva bandia hujifunza kwa kuchakata taarifa mithili ya ubongo wa binadamu. Japokua mtandao wa neva bandia wenye tabaka moja unaweza kutoa majibu, ule wenye matabaka mengi zaidi una uwezo wa kutoa majibu kwa usahihi mkubwa zaidi. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "What is Deep Learning? | IBM". www.ibm.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-01-10.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kujifunza kwa kina kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |