Kujifunza kwa mashine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kielelezo kikionyesha mpangilio wa matawi makuu ya akili bandia, kujifunza kwa mashine (machine learning) na kujifunza kwa kina (deep learning)

Kujifunza kwa mashine au kujifunza mashine (kwa Kiingereza; machine learning, kifupi ML) ni tawi la akili bandia linalojihusisha na uundaji wa algoriti zinazotumia takwimu kujifunza kutoka kwenye data kisha kutumia uelewa huo kuchakata data mpya.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kujifunza kwa mashine kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.