Nenda kwa yaliyomo

Ukusanyaji taka za kielektroniki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukusanyaji taka za kielektroniki (kwa Kiingereza: garbage collection au GC kwa kifupi) ni mchakato kwenye upangaji wa programu za kompyuta unaofanya kazi ya kuokoa kumbukumbu za kompyuta ambazo hazitumiwi tena na programu. Huzuia kumbukumbu kuvuja na kuruhusu wasanidi programu kujikita na kuandika misimbo chanzo bila kujihusisha na usimamizi wa kumbukumbu.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukusanyaji taka za kielektroniki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.