Googol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kielelezo kinachoonyesha urefu au ukubwa na namba ya Googol

Googol ni namba kubwa 10100. Inaandikwa kama tarakimu 1 ikifuatiwa na sifuri mia moja: 10,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000,​000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Googol", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-12-09, iliwekwa mnamo 2024-01-12 
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Googol kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.