Nenda kwa yaliyomo

Edirne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Edirne)
Msikiti wa Selimiye.

Edirne (anc. Hadrianopolis; Kigiriki Adrianòpolis, Αδριανουπολις; Kibulgaria Одрин ni mji katika sehemu ya magharibi mwa nchi ya Uturuki, katika sehemu yake iliyopo kwenye bara la Ulaya, karibu kabisa na mipaka ya Ugiriki na Bulgaria. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Edirne una wakazi wapatao 128,400, kwa mwaka wa 2002 kutoka lundiko la watu kiasi cha 119,298 cha mwaka wa 2000.

Mji ulianzishwa zamani za Dola la Roma ya Kale kwa jina la Hadrianopolis yaani "mji wa Hadrian" kwa heshima ya Kaizari Hadrian. Jina la Kigirki hadi leo ni Adrianopoli (Ἁδριανούπολι) lakini tangu 1930 umbo la Kituruki la jina hili Edirne umekuwa kawaida.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kila mwezi wa Juni katika mwaka huwa na sikukuu za mieleka ya kubwagana kwenye mafuta ya oili ambayo inaitwa Kırkpınar, inasemekana kwamba ni mchezo wa kale sana ambao hadi leo bado upo baada ya Michezo ya Olympic (ambao ulianzsihwa upya kwenye makarne kadhaa nyuma).

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Edirne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.