Erzurum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:48, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 57 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q122803 (translate me))

Erzurum (Kiarmenia: Կարին Karin) ni mji uliopo mashariki mwa Anatolia, Uturuki. Jina la "Erzurum" linatokana na Kiarabu, yaani, "Arz-u Rûm" (maana yake Nchi ya Waroma[1]).

Mji wa Erzurum, una wakazi wapatao 361,235 (kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000). Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Erzurum, ambao ni jiji kubwa katika Mkoa Mashariki wa Uturuki ya Anatolia. Mji upo katika mita 1757 (futi 5766) kutoka juu ya usawa wa bahari na mji wenye hali ya baridi sana.

Historia

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Erzurum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.