Çanakkale
Mandhari
(Elekezwa kutoka Canakkale)
Çanakkale ni mji uliopo katika bandari ya nchini Uturuki, katika Mkoa wa Çanakkale - kusini mwa (Asia) kwenye pwani ya Dardanelles (au Hellespont).
Mkoa wa Çanakkale, upo kama Mkoa wa Istanbul, upo katika pande zote mbili, yaani Ulaya na Asia. Feri zimepita hapa moja kwa moja na kuelekea zake huko kaskazini mwa Ulaya.
Çanakkale ni karibu kidogo na mji mkuu wa Troy ya Kale. Farasi wa mbao kutoka katika filamu ya mwaka wa 2004 ya Troy ni kivutio kikubwa katika uso wa bahari hiyo.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Çanakkale Web Site
- - About Çanakkale Ilihifadhiwa 26 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Çanakkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |