26 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 26 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Desemba ni siku ya 360 ya mwaka (ya 361 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 5.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 795 - Uchaguzi wa Papa Leo III
- 1559 - Uchaguzi wa Papa Pius IV
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1864 - Yun Chi-ho, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
- 1873 - Norman Angell, mwandishi wa habari Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1933
- 1915 - Teofilo Kisanji, askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 269 - Mtakatifu Papa Dionysius
- 418 - Mtakatifu Papa Zosimus
- 1972 - Harry S. Truman, Rais wa Marekani (1945-1953)
- 2005 - Vincent Schiavelli, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2006 - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-1977)
- 2009 - Dennis Brutus, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Stefano, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Papa Dionysius, Zenoni wa Maiuma, Papa Zosimus, Eutimi wa Sardi, Visenta Maria Lopez n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |