Norman Angell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Norman Angell
Tuzo Nobel.png

Sir Ralph Norman Angell Lane (26 Desemba 18727 Oktoba 1967) alikuwa mtaalamu wa uchumi na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa. Anajulikana sana kwa kitabu chake “Uwongo Mkubwa” (kwa Kiingereza Great Illusion) kilichotolewa mwaka wa 1910. Mwaka wa 1931 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1933 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Norman Angell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.