Nenda kwa yaliyomo

24 (msimu wa 2)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msimu wa 2 wa 24

Washiriki wa Msimu wa 2
Nchi asilia Marekani
Mtandao Fox Broadcasting Company
Iko hewani tangu 28 Oktoba 2002 – 20 Mei 2003
Idadi ya sehemu 24
Tarehe ya kutolewa DVD 9 Septemba 2003
Msimu uliopita Msimu wa 1
Msimu ujao Msimu wa 3

Msimu wa Pili ni mfululizo wa TV wa 24 (p.u.k Siku ya 2) ulianza kurushwa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 28 Oktoba 2002 hadi tar. 20 Mei 2003. Msimu huu ulianza na kuishia saa 8:00 asubuhi. Kipengele cha kwanza kina saa zima ikiwa kama kivutio cha biashara.

Muhtasari wa Msimu[hariri | hariri chanzo]

Msimu wa Pili (2002–2003) ni seti ya miezi 18 baada ya kutolewa kwa Msimu wa Kwanza. Msimu huu umemkuta Rasi David Palmer akiwa kazini na kachero Jack Bauer akiendelea na kazi zake kuzuia bomu la nyuklia lisije likafyatuliwa mjini Los Angeles. Inakuja na muhusika mpya aitwaye Kate Warner, mwanamama anayeishia kupata habari muhimu zinazohusikana na na shambulio la bomu litakafyatuliwa katika Kitengo cha Kuzuia Ugadi cha Los Angeles (CTU).

Kama jinsi ilivyokuwa katika Msimu wa Kwanza, hi pia imegawanyika katika vifungu viwili:

 1. Kifungu cha kwanza kinahusisha wana CTU na jaribio lao kuwazuia watu wa Mashariki ya Kati dhidi ya dhamira yao ya kuachia bomu la nyuklia katika Los Angeles.
 2. Katika kifungu cha pili, Jack, Kate, na kikundi kizima cha CTU kinajaribu kuzuia ukweli wa mambo yasije yakavuja na kujulikana kuwa ni mwenye kuhusika na upatikanaji wa bomu.

Njama za chinichini[hariri | hariri chanzo]

 • Kim yumbioni, kwa kumwokoa kisichana kidogo kilichokuwa kikinyanyaswa na baba yake.
 • Kate Warner anamtuhumu mchumba wa ndugu yake wa Kimashiriki ya Kati kuwa ni gaidi.
 • CTU imelipuliwa na bomu ili wasiweze kupata vyanzo vya habari ili washindwe kuzuia mlipuko wa bomu ambao ulipangwa hapo baadaye.
 • George Mason, Mkurugenzi wa CTU, anakufa kwa kuvuta hewa ya sumu.
 • Jack na hofu binafsi: ahofia kuhusu Kim; kuendelea kwa matatizo yake ya moyo baada ya kuteswa na magaidi.
 • Rais Palmer anakabiliana na wasaliti katika Baraza la, ambao wanajaribu kumuondoa madarakani ili waendeleze mipango yao.
 • Mahusiano binafsi kati ya Tony Almeida na Michelle Dessler yanaaza kukua.
 • Mahusiano kati ya Jack Bauer na Kate Warner yanaanza kukua.

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Njama na sababu zilizopelekea kuathiri misimu ya baadaye[hariri | hariri chanzo]

 • Kufa kwa George Mason.
 • Kurudia upya kwa mahusiano kati ya Jack na binti yake.
 • Mahusiano yaliyoendelea kati ya Tony Almeida na Michelle Dessler.
 • Mahusiano yaliyoendelea kati ya Jack na Kate Warner.
 • Mahusiano yaliyoendelea kati ya Jack na Michelle.
 • Kufukuzwa kazi kwa Mike Novick kuwa kama mfanyakazi wa David Palmer.
 • Jaribio la kutaka kumwua David Palmer.
 • Kulipiliwa kwa bomu kwa ofisi za CTU.
 • Kukubaliwa kuwa huru kwa Nina Myers.

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Orodha hii ni wahusika wakuu wa Msimu wa Pili. Tazama orodha hii inaonyesha wahusika wote.

Mastaa

Wapya

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]