Nenda kwa yaliyomo

Glenn Morshower

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Glenn Morshower

Glenn Morshower kwenye sherehe ya 2011 Dallas International Film Festival
Amezaliwa Glenn Grove Morchower
24 Aprili 1959 (1959-04-24) (umri 65)
Dallas, Texas

Glenn Morshower (amezaliwa kama Glenn Grove Morchower;[1] mnamo tar. 24 Aprili 1959) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza kama Kachero wa Siri wa Marekani, Aaron Pierce, katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24. Ukiachia nyota kiongozi wa mfululizo huo Bw. Kiefer Sutherland (Jack Bauer), Morshower ni mwigizaji pekee aliyeonekana katika kila msimu wa mfululizo huo.

  1. Kwa mujibu wa Jimbo la Texas. Texas Birth Index, 1903-1997. At Ancestry.com

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Glenn Morshower kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.