Nenda kwa yaliyomo

Aaron Pierce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aaron Pierce
muhusika wa 24

Glenn Morshower kama Aaron Pierce
Imechezwa na Glenn Morshower
Misimu
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7
Maelezo

Aaron Pierce ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Glenn Morshower.

Pierce ni Kachero Maalum wa Huduma ya Kisiri ya Kikachero ya Marekani, anafanya kazi kama kiongozi wa ulinzi, katika vipindi tofauti, toka wakati wa David Palmer na Charles Logan. Pierce ana mtoto mmoja wa kiume, ambaye, ambamo alitajwa mara moja tu kwamba anatumikia jeshi la Navy. Ukimtoa Jack Bauer, Pierce ni muhusika pekee aliyeonekana katika kila msimu wa mfululizo huu wa 24.

Katika uhusika[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]