Wayne Palmer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wayne Palmer
muhusika wa 24
WaynePalmer.jpg
D. B. Woodside kama Wayne Palmer
Imechezwa na D. B. Woodside
Misimu
3, 5, 6
Maelezo

Wayne Palmer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na D. B. Woodside.


Katika uhusika[hariri | hariri chanzo]

Huyu ni ndugu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. David Palmer, Wayne alikuja kuchukua nafasi ya Mike Novick na alifanya kazi kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu, ni baada ya Palmer kumhondosha Novick kazini mwishoni mwa Msimu wa Pili.

Zamani alifanya kazi kama askari wa Majini wa Marekani. Pia, ana dada yake aitwaye Sandra Palmer. Baada ya kumaliza elimu ya juu, akapata ufadhili wa baseball katika Chuo Kikuu cha Stanford, ambapo alipata digrii ya Sayansi ya Siasa.

Baadaye, alienda kupata digrii ya Sheria, ambayo ameipata katika Chuo cha Sheria cha Yale. Inaaminika ya kwamba, huyu naye ni kama kaka yake, Wayne Palmer naye ni mwanachama wa chama cha Democrat.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]