Nenda kwa yaliyomo

Michelle Dessler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michelle Dessler

Reiko Aylesworth as Michelle Dessler
Imechezwa na Reiko Aylesworth
Idadi ya sehemu 62
Hali
Amefariki
Msimu
2, 3, 4, 5
Maelezo
Ndoa Tony Almeida

Michelle Dessler ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Reiko Aylesworth.

Alikuwa rafiki wa karibu na mwanamke pekee anayeaminiwa na Jack katika CTU na vilevile ni rafiki yake hata nje ya kazi. Alianza kuonekana kwa mara ya kwanza katika msimu wa pili wa 24 akiwa kama Meneja wa Uratibu wa Internet katika Tawi la CTU la Los Angeles na kisha baadaye akaja kuwa mwandani wa Tony Almeida.

Katika vipengele vya usoni, ameonekana kusaidia nafasi kama Mkubwa wa Kazi na Kaimu Kachero Maalum na Kiongozi ka CTU Los Angeles, na Ushirika wa Kachero Maalum Kandani.

Katika uhusika[hariri | hariri chanzo]

Michelle alipata digrii moja ya Computer Science katika Chuo Kikuu cha California, na akaanza katika Taasisi ya Taifa ya Viwango na Teknolojia, na DARPA High Confidence Systems Working Group, kabla ya kukodiwa na tawi la CTU la Los Angeles.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fox Broadcasting Company, Season 4 characters - Michelle Dessler Archived 13 Juni 2007 at the Wayback Machine.