Nenda kwa yaliyomo

David Palmer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Palmer
muhusika wa 24

Dennis Haysbert kama David Palmer
Misimu
1, 2, 3, 4, 5
Maelezo

David Palmer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Dennis Haysbert.

Palmer anaonekana kutumikia kuwa kama muhusika mkuu wa pili baada ya Jack Bauer. Katika mfululizo huu, mke wake wa zamaniPalmer, Bi. Sherry na mdogo wake Wayne ndiyo watu muhimu kabisa katika utawala wake.

Palmer ana watoto wawili: wa kiume anaitwa Keith, na wa kike anaitwa Nicole. Palmer ni mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia cha Marekani.

Katika uhusika

[hariri | hariri chanzo]

David Palmer ana digrii ya Sheria ambayo aliipata katika Chuo Kikuu cha Sheria cha Maryland, na pia ana digrii ya Siasa na Uchumi aliopatia katika Chuo Kikuu cha Georgetown.[1] Mbali na urais wake, awali alifanya kazi kama Seneta kutoka mjini Maryland.[2]

  1. Cerasini, Marc (2003). 24: The House Special Subcommittee's Findings at CTU (toleo la First). Harper Collins. uk. 24. ISBN 0-06-053550-4.
  2. "FOX Broadcasting Company: 24". FOX 24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-02. Iliwekwa mnamo 2008-07-08.

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.