Charles Logan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Logan
muhusika wa 24

Gregory Itzin kama Charles Logan
Imechezwa na Gregory Itzin
Mionekano
4, 5, 6
Maelezo

Charles Logan ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Gregory Itzin.

Wakati wa msimu wa nne, Logan ni Makamu wa Rais wa Marekani ambaye ameapizwa kiofisi kama Kaimu Rais baada ya John Keeler kupata majelaha makubwa wakati wa shambulio la kigaidi lililofanywa dhidi yake.

Inaaminika ya kwamba Logan alikuwa mwanachama wa chama cha Republican. Alitanguliwa na John Keeler, alikuwa mgombea wa the Republican aliyemshindwa mgombea wa Democrat aliyekuwa akigombea urais kwa chama cha Democrat Bw. David Palmer (ambaye amejiamulia kutoendelea na muhula wa pili wa urais wake).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]