Nenda kwa yaliyomo

Nadia Yassir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nadia Yassir
muhusika wa 24

Marisol Nichols kama Nadia Yassir
Imechezwa na Marisol Nichols
Idadi ya sehemu 24
Hali
Yu hai
Misimu
6
Maelezo

Nadia Yassir ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Marisol Nichols.

Alianza kutambulakana katika Msimu wa 6 wa mfululizo huu, na anafanya kazi katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi cha Los Angeles (CTU), tawi dogo la CIA. Kwa muda mfupi katika msimu wa sita, akachukua nafasi ya Bill Buchanan akiwa kama Mkurugenzi wa CTU baada ya kuachishwa kazi kwa Buchanan.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]