Mike Novick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mike Novick
muhusika wa 24
Mike Novick.jpg
Jude Ciccolella kama Mike Novick
Imechezwa na Jude Ciccolella
Mionekano
1, 2, 4, 5
Maelezo

Mike Novick ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Jude Ciccolella.

Ameonekana zaidi ya wahusika wengine wanaojirudia mara kwa mara, ameonekana katika vipengele vipatavyo 58 kwenye misimu yote minne ya mfululizo huu. Pia, amepata kupigwa picha za promosheni sawa na wale wahusika wakuu wa mfululizo huu, ingawa hakuwa mmoja kati ya wahusika wakuu.

Alifanya kazi kama Mnadhimu Mkuu wa Ikulu wakati wa utawala wa David Palmer na kisha baadaye katika utawala wa Logan. Hasa baada ya kufa kwa Walt Cummings, aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa utawala wa Logan.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]