Kim Bauer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kim Bauer
muhusika wa 24

Elisha Cuthbert kama Kim Bauer
Imechezwa na Elisha Cuthbert
HaliYu hai
FamiliaJack Bauer, Philip Bauer, Terri Bauer, Graem Bauer, Marilyn Bauer, Josh Bauer
Misimu
1, 2, 3, 5, 7
Mionekano MingineHamna
Maelezo

Kim Bauer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Elisha Cuthbert.

Katika uhusika[hariri | hariri chanzo]

Kim Bauer alizaliwa mjini Santa Monica, California, mnamo mwaka wa 1987,[1] akiwa mtoto pekee wa Jack na Teri Bauer.

Aliachia mbali masomo katika shule ya Santa Monica High School, lakini ameambulia kadigrii kake cha masuala ya Computer Programming katika chuo maarufu cha Santa Monica College. Halafu baadaye zaidi alijibisha kikazi katika Kitengo cha Kuzuiya Ugaidi cha mjini Los Angeles maarufu kama Counter Terrorist Unit (CTU).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cerasini, Marc (2003). 24: The House Special Subcommittee's Findings at CTU (First ed.). Harper Collins. pp. 61. ISBN 0-06-053550-4. 
  2. FOX Broadcasting Company: 24. FOX 24. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-03-20. Iliwekwa mnamo 2008-07-07.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]