Morris O'Brian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morris O'Brian
muhusika wa 24

Carlo Rota kama Morris O'Brian
Imechezwa na Carlo Rota
Idadi ya sehemu 28
Hali
Yu hai
Misimu
5, 6, 7
Maelezo
Ndoa Chloe O'Brian(Wameachana)

Morris O'Brian ni jina la mhusika wa kipindi cha televisheni cha Marekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Carlo Rota.

Kama jinsi inavyoonekana katika Siku ya 6 (kuanzia saa 11 jioni hadi saa saa kumi na mbili magharibi), Morris anaonekana anaweza kuongea na kusikia kidogo lugha ya Kirusi.

Katika uhusika[hariri | hariri chanzo]

Mwigizaji Carlo Rota alielezea maana ya Morris ni "utata". Kiasili anatokea Uingereza, yeye ni mnyumbulishaji wa mitambo ya CTU, na mume mtengwa wa Chloe O'Brian, ingawa wawili hao walirudiana katika Msimu wa 6.

Akiwa kama mcheshi, kipenzi cha watu, na ana maarifa ya juu na mitambo ya CTU; lakini hupoteza muda kwa kujinywea pombe kidogo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]