Renee Walker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Renee Walker
muhusika wa 24

Annie Wersching kama Renee Walker
Imechezwa na Annie Wersching
Msimu7, 8
Maelezo
Kazi yake Kachero maalumu wa FBI

Renee Walker ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na mwigizaji Annie Wersching. Humu kacheza kama kachero wa FBI, ana ameanza kuonekana kuanzia msimu wa 7 na msimu ujao wa 8.

Renee alianza kuonekana pale alipokuwa akimtoa Jack Bauer nje ya shauri la Masenate ili aweze kuisaidia ushauri FBI katika suala la kumtia nguvuni Tony Almeida, ambaye amekutanika akijihusisha na vitendo vya kigaidi.[1] Baadaye, amempatia Jack nguvu zaidi, kwa kumruhusu kumhoji Almeida.[2] Baada ya Jack kumlaghai na kisha kutoroka na Almeida, jazba zake na kosa lake dhidi ya usaliti aliofanyiwa, imempelekea hadi kwenda kumtesa mfunmgwa mmoja ili aweze kuwakamata Jack na Tony mwenyewe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "8:00 AM -9:00 AM". Writer: Howard Gordon Director: Jon Cassar. 24. 2008-01-11. No. 145, season 7.
  2. "10:00 AM - 11:00 AM". Writer: Joel Surnow & Michael Loceff Director: Jon Cassar. 24. 2008-01-11. No. 147, season 7.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]