Nenda kwa yaliyomo

Tom Lennox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tom Lennox
muhusika wa 24

Peter MacNicol kama Tom Lennox
Imechezwa na Peter MacNicol
Mionekano
6, Redemption
Maelezo

Thomas "Tom" Lennox ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Peter MacNicol. Alianza kuonekana katika msimu wa sita wa mfululizo huu, na alikuwa akifanya kazi kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani. Huyu ndiye aliyemshauri Wayne Palmer kugombea Urais.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]