Peter MacNicol
Mandhari
Peter MacNicol | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Amezaliwa | Peter C. MacNicol 10 Aprili 1954 Dallas, Texas, Marekani | ||||||||||
Ndoa | Marsue MacNicol (1986–hadi leo) | ||||||||||
|
Peter C. MacNicol (amezaliwa tar. 10 Aprili 1954) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Tom Lennox kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Peter MacNicol at the Internet Movie Database
- Peter MacNicol katika TV.com
- "Biography". Peter MacNicol Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-18. Iliwekwa mnamo 2009-03-30.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter MacNicol kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |