Nenda kwa yaliyomo

Martha Logan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martha Logan
muhusika wa 24

Jean Smart kama Martha Logan
Imechezwa na Jean Smart
Misimu
5, 6
Maelezo

Martha Logan ni jina la mhusika wa kipindi cha televisheni cha Marekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Jean Smart. Akiwa kama mwanamke wa kwanza wa Marekani wa mfululizo wa 24, ana uwezo, lakini ni mwanamama asiyetabirika na asiye sawa wa Rais Charles Logan.[1] Uhusika huu wa Martha Logan umevunja rekodi na kuufanya kupata Tuzo ya Emmy mnamo mwaka wa 2006.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "10:00 AM - 11:00 AM". Writer: Joel Surnow Director: Brad Turner. 24. 2006-01-16. No. 100, season 5.