Jean Smart
Mandhari
Jean Smart | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwigizaji Jean Smart akiwa katika HBO Post-Emmys Party, Pacific Design Center, mnamo mwezi Septemba 2008 | |||||||
Amezaliwa | Jean E. Smart 13 Septemba 1951 Seattle, Washington | ||||||
Ndoa | Richard Gilliland | ||||||
|
Jean E. Smart (amezaliwa tar. 13 Septemba 1951) ni mshindi wa tuzo nyingi-nyingi za Emmy, akiwa kama mwigizaji filamu, televisheni, na mcheshi kutoka nchini Marekani. Smart anafahamika sana kwa uhusika wa vichekesho, moja kati ya uhusika wake uliomaarufu ni ule aliocheza kama Charlene Frazier Stillfield kutoka katika ucheshi wa CBS maarufu kama Designing Women.
Baadaye akapata umaarufu zaidi baada ya kucheza kama Martha Logan kwenye mfululizo wa 24. Smart ameonekana tena kama Regina Newly katika ucheshi unaorushwa hewani na ABC maarufu kama Samantha Who?, ambayo hiyo ndiyo iliyompelekea kupata tuzo ya Emmy kwa mwaka wa 2008.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Mwwaka | Filamu | Aliigiza kama | Maelezo |
---|---|---|---|
1979 | Gangsters | Haijulikani | |
1979 | Before and After | Haijulikani | |
1983 | Reggie | Joan Reynolds | Tamthilia |
1983 | Teachers Only | Shari | Tamthilia |
1984 | Single Bars, Single Women | Virge | Tamthilia |
1984 | Maximum Security | Dr. Allison Brody | Tamthilia |
1984 | Piaf | Marlene Dietrich | |
1984 | Flashpoint | Doris | |
1984 | Protocol | Ella | |
1986 | Fire with Fire | Sister Marie | |
1986 | A Fight for Jenny | Haijulikani | |
1986-1991 | Designing Women | Charlene Olivia Frazier Stillfield | Tamthilia |
1987 | Place at the Table | ||
1987 | Project X | Haijulikani | |
1991 | A Seduction in Travis County | ||
1991 | Locked Up: A Mother's Rage | Cathy | |
1992 | Baby Talk | ||
1992 | Mistress | Patricia | Aliigiza pamoja na Robert De Niro |
1992 | Overkill: The Aileen Wuornos Story | ||
1992 | Just My Imagination | ||
1993 | Homeward Bound: The Incredible Journey | ||
1993 | Batman: The Animated Series | ||
1994 | The Yarn Princess | ||
1994 | The Yearling | ||
1994 | Scarlett | Sally Brewton | |
1995 | The Brady Bunch Movie | Dena Dittmeyer | |
1995 | A Stranger in Town | ||
1995 | High Society | Tamthilia | |
1996 | Edie and Pen | ||
1997 | Undue Influence | ||
1998 | Style & Substance | Chelsea Stevens | Tamthilia |
1998 | The Odd Couple II | Holly | |
1998 | A Change of Heart | ||
1999 | Guinevere | ||
2000 | Forever Fabulous | Loreli Daly | |
2000 | Snow Day | Laura Brandston | |
2000 | Disney's The Kid | Deidre Lefever | |
2000 | The Man Who Came to Dinner | ||
2000–2004 | Static Shock | Maggie Foley | |
2001 | The Oblongs | Pickles Oblong | Tamthilia; sauti |
2002 | Kim Possible | Dr. Ann Possible | Tamthilia; sauti |
2000 | Frasier | Tamthilia | |
2002 | Sweet Home Alabama | Stella Kay Perry | Aliigiza pamoja na Reese Witherspoon and Josh Lucas |
2002 | In-Laws | Tamthilia | |
2003 | Bringing Down the House | Kate Sanderson | Aliigiza pamoja na Steve Martin and Queen Latifah |
2004 | Audrey's Rain | ||
2003 | Killer Instinct: From the Files of Agent Candice DeLong | ||
2004 | Garden State | Carol | |
2004 | I Heart Huckabees | Mrs. Hooten | |
2004 | Balto III: Wings of Change | Stella | |
2004 | Center of the Universe | Kate Barnett | Tamthilia |
2004 | A Very Married Christmas | ||
2006 | Whisper of the Heart | Asako Tsukishima | sauti |
2006 | 24 | Martha Logan | Tamthilia |
2007 | Tales from Earthsea | sauti | |
2007 | Lucky You | Michelle Carson | |
2007 | Samantha Who? | Regina Newly | Tamthilia |
2008 | American Dad! | Mwenyewe | Tamthilia; sauti |
2008 | Hero Wanted | Melanie McQueen | |
2010 | Youth in Revolt | Estelle Twisp | |
2010-2011 | Hawaii Five-0 | Governor Pat Jameson | Tamthilia |
2010 | Psych | Tamthilia | |
2011 | $h*! My Dad Says | Tamthilia | |
2011 | William & Catherine: A Royal Romance | Camilla | |
2011 | Harry's Law | Roseanna Remmick |
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Jean Smart at the Internet Movie Database
- Jean Smart katika Internet Broadway Database
- Jean Smart at the Internet Off-Broadway Database
- Official Jean Smart website Ilihifadhiwa 15 Agosti 2004 kwenye Wayback Machine.
- Jean Smart win supporting-actor Emmys Samantha Who? Ilihifadhiwa 26 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean Smart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |