Nenda kwa yaliyomo

Edgar Stiles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edgar Stiles
muhusika wa 24

Louis Lombardi kama Edgar Stiles
Imechezwa na Louis Lombardi
Idadi ya sehemu 37
Hali
Deceased
Misimu
4, 5
Maelezo
Familia Lucy Stiles

Edgar Stiles ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Louis Lombardi.


Katika uhusika

[hariri | hariri chanzo]

Edgar alikuwa na uzoefu kama Mtambuzi na Mnyambuzi wa mashine za CTU na vilevile alikuwa meneja wa uangalizi. Ana digrii ya Computer Science aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha New York.[1]

Edgar alifahamika sana kwa kazi yake ya kuhifadhi picha za matukio[2], na alikuwa rafiki wa karibu wa mtaalam Chloe O'Brian, ambaye alikuwa akimsifia kuwa ni "mtu muzuri".[3]


  1. "FOX Broadcasting Company: 24". FOX 24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-14. Iliwekwa mnamo 2008-07-08.
  2. "12:00 AM - 1:00 AM". Writer: Joel Surnow Director: Jon Cassar. 24. 2005-04-18. No. 90, season 4.
  3. "11:00 PM - 12:00 AM". Writer: Peter Lenkov Director: Jon Cassar. 24. 2005-01-17. No. 77, season 4.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]