Louis Lombardi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Louis Lombardi
Louis Lombardi 2014.jpg
Amezaliwa 1968
The Bronx, New York City

Louis Lombardi (amezaliwa 1968) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.

Lombardi alizaliwa mjini The Bronx, New York City, akiwa kama mtoto wa Louis Lombardi, Sr.[1] Kwa upande wa televisheni, Lombardi alipata uhusika katika mfululizo wa The Sopranos alicheza kama Agent Skip Lipari, na kupata kuwa kama nyota mwalikwa katika kipindi kama vile Entourage, NYPD Blue na CSI. Alikuwa mwanachama wa marudio ya Fantasy Island ya miaka ya 1990 na alipata kucheza katika mfululizo wa 24 - Edgar Stiles.

Pia, amepata kucheza katika filamu kadhaa kama vile Beer League, The Usua, Natural Born Killers, Suicide Kings, Beverly Hills Cop III,The Animal, Spider-Man 2, 3000 Miles to Graceland, na The Spirit. Ametoa na kuiongoza filamu yake mwenye iliopewa jina la "Dough Boys" ambayo ilifanyiwa ndani ya mji wa Bronx.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Lombardi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.