Carlo Rota
Mandhari
Carlo Rota | |
---|---|
Amezaliwa | 17 Aprili 1961 London, Uingereza |
Kazi yake | Mwigizaji |
Carlo Rota (amezaliwa tar. 17 Aprili 1961) ni mzaliwa wa Uingereza-mwigizaji filamu na tamthilia wa Kikanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Morris O'Brian kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Carlo Rota at the Internet Movie Database
- Carlo Rota Interview on The Hour with George Stroumboulopoulos
- Little Mosque's Carlo Rota a Chameleon, Interview - AOL Entertainment Archived 17 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carlo Rota kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |