Marisol Nichols

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marisol Nichols

Marisol Nichols kwenye sherehe ya 2012 Alma Awards
Amezaliwa 2 Novemba 1973 (1973-11-02) (umri 50)
Chicago, Illinois US
Miaka ya kazi 1996 - present
Ndoa Taron Lexton (2008 - hadi leo) mtoto 1
Tovuti rasmi

Marisol Nichols (amezaliwa tar. 2 Novemba 1973) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kushiriki kwake katika msimu wa sita wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24. Akiwa katika 24, alitumia jina la Nadia Yassir. Pia, anajulikana kwa kucheza kama Audrey Griswold katika Vegas Vacation na vilevile kuwa mwongeaji wa Bally Total Fitness.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marisol Nichols kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.