Reiko Aylesworth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Reiko Aylesworth
Reiko aylesworth.jpeg
Amezaliwa Reiko Aylesworth
9 Desemba 1972 (1972-12-09) (umri 48)
Evanston, Illinois, Marekani
Miaka ya kazi 1993–Hadi leo

Reiko Aylesworth (amezaliwa tar. 9 Desemba 1972 mjini Evanston, Illinois)[1][2] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama Michelle Dessler.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Carlos Bernard: Biography. TV Guide. “born in the same [Evanston] hospital as Reiko Aylesworth”
  2. Dahl, Steve (24 Mei 2005). Episode: "May 24, 2005". Dahl.com. “She was born in the same hospital as her "24" co-star Carlos Bernard[dead link]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reiko Aylesworth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.