Sarah Clarke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sarah Clarke

Sarah Clarke na Xander Berkeley katika seti ya 24
Amezaliwa 16 Februari 1972 (1972-02-16) (umri 52)
St. Louis, Missouri, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Ndoa Xander Berkeley (2002-hadi leo); mtoto 1

Sarah Clarke (amezaliwa tar. 16 Februari 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nina Myers katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24, na uhusika mkuu wake uliopo ujulikanao kama Erin McGuire katika mfululizo wa Trust Me.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filmu Kama Aina Maelezo
2000 Pas de deux The Clown Filamu kama Sarah Lively
All About George Catherine Filamu kama Sarah Lively
Sex and the City Melinda Peters Tamthilia Kipindi kimoja kama Sarah Lively
2001 24 Nina Myers Tamthilia Vipindi 36 (2001–2004)
The Accident Reeny Filamu
Ed Kara Parsons Tamthilia Kipindi kimoja kama Sarah Lively
2002 Emmett's Mark Sarah Filamu Killing Emmett Young
2003 Thirteen Birdie Filamu
The Third Date Katrina Filamu
Karen Sisco Barbara Simmons Tamthilia Kipindi 1
2004 Below the Belt Company Spokesperson Filamu Human Error
2005 Happy Endings Diane Filamu
House Carly Forlano Tamthilia Kipindi 1
Psychic Driving Selma Filamu
E-Ring Jim's Wife
Las Vegas Olivia Duchey Tamthilia Vipindi 2
2006 A House Divided Jackie Filamu
24: The Game Nina Myers Video game sauti
Commander in Chief Christine Chambers Tamthilia Kipindi 1
The Lather Effect Claire One More Night
2007 Alibi Sarah Winters Tamthilia
The Colony Olga Filamu
Life Mary Ann Farmer Tamthilia Kipindi 1
2008 Twilight Renée Dwyer Filamu
The Cleaner Lauren Keenan Tamthilia Kipindi 1
Wainy Days Rebecca Tamthilia Kipindi 1
2009 Women in Trouble Maxine McPherson Filamu
Trust Me Erin McGuire Tamthilia Vipindi 13
Bedrooms Janet Filamu
2010 Men of a Certain Age Dori Tamthilia Vipindi 4
The Twilight Saga: Eclipse Renée Dwyer Filamu
Below the Beltway Anne Filamu
The Booth at the End Sister Carmel Tamthilia Vipindi 5
2011 The Twilight Saga: Breaking Dawn Part 1 Renée Dwyer Filamu
Nikita Katya Udinov Tamthilia
2012 Covert Affairs Lena Smith Tamthilia

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Clarke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.