Nenda kwa yaliyomo

Carlos Bernard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carlos Bernard

Amezaliwa Carlos Bernard Papierski
12 Oktoba 1962 (1962-10-12) (umri 61)
Miaka ya kazi 1996-hadi leo
Ndoa Sharisse Baker (1999—hadi leo)
Watoto Binti - Natalie
Tovuti rasmi

Carlos Bernard Papierski (amezaliwa tar. 12 Oktoba 1962 mjini Evanston, Illinois) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama [1] Tony Almeida katika tamthilia ya 24. Carlos, pia alishawahi kushiriki katika tamthilia ya The Young and the Restless na Sunset Beach.

Bernard amemuoa mwigizaji Sharisse Baker mnamo 1999.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Aliigiza kama Maelezo zaidi
1996 The Killing Jar Chajén
1997 Sunset Beach Intern
Night Man Parker's Henchman Kipindi cha: "In the Still of the Night"
Silk Stalkings Bradley Babcock Kipindi cha: "Pink Elephants"
F/X: The Series Kipindi cha: "French Kiss"
1998 Men in White
1999 The Young and the Restless Rafael Delgado
Babylon 5: A Call to Arms Communications
2000 The Colonel's Last Flight Rosario
Mars and Beyond Lt. Ronaldo Alvarez
2001 24 Tony Almeida 2001-2006, 2009
Walker, Texas Ranger Raoul 'Skull' Hidalgo Kipindi cha: "Without a Sound"
Vegas, City of Dreams Chico Escovedo
2006 10.5: Apocalypse Dr. Miguel Garcia
24: The Game Tony Almeida
2007 Nurses Dr. Richmond
2008 Alien Raiders Aaron Ritter
2009 Burn Notice Gabriel Kipindi cha: "Good Intentions"
2010 Angel Camouflaged Jude Stevens
Scoundrels Det. Sgt. Mack
The Blue Wall David Keenan
2011 Ghost Storm Hal Miller
Charlie's Angels Pajaro / Rodrigo Kipindi: "Angel with a Broken Wing"
CSI Miami Diego Navarro - Nemesis of Horatio Caine
2012 Dallas Vicente Cano
Hawaii Five-0 Agent Channing Vipindi: "Doubt", "Evil Woman"
2013 Castle Jared Stack Kipindi: "The Human Factor"
2014 Motive Kurt Taylor Kipindi: "Overboard"
Major Crimes Pete Sims Kipindi: "Acting Out"

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Drama Faces". BBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-22. Iliwekwa mnamo 2007-09-26.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Bernard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.