Paul Schulze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Paul Schulze
Amezaliwa 1962
Kazi yake Mwigizaji

Paul Schulze (amezaliwa 12 Juni, 1962)[1] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Ryan Chappelle katika mfululizo wa FOX maarufu kama 24 kuanzaia mwaka 2001 hadi 2003. Pia anajulikana kwa kucheza kama Father Phil Intintola katika HBO The Sopranos kuanzia mwaka wa 1999 hadi 2006.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Paul Schulze Biography (1962?-). FilmReference.com. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2009.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Schulze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.