21 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Novemba ni siku ya 325 ya mwaka (ya 326 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 40.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 164 KK - Yuda Mmakabayo anatakasa Hekalu la Yerusalemu
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1694 - Voltaire, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1792 - Mtakatifu Pavel wa Taganrog, Mkristo mlei wa Ukraina
- 1854 - Papa Benedikt XV
- 1904 - Coleman Hawkins, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 615 - Mtakatifu Kolumbani, abati mmisionari kutoka Eire
- 1011 - Reizei, mfalme mkuu wa Japani (967-969)
- 1899 - Garret Hobart, Kaimu Rais wa Marekani
- 1945 - Ellen Glasgow, mwandishi kutoka Marekani
- 1970 - Chandrasekhara Raman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930
- 1996 - Abdus Salam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria kutolewa hekaluni, lakini pia za watakatifu Rufo wa Roma, Mauro wa Parenzo, Agapio wa Kaisarea, Papa Gelasi I, Mauro wa Cesena n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |